Deuteronomy 21:5-6

5 aMakuhani, hao wana wa Lawi, watasogea mbele, kwa kuwa Bwana Mwenyezi Mungu wenu, amewachagua kuhudumu na kutoa baraka katika jina la Bwana, na kuamua mashauri yote ya mabishano na mashambulio. 6 b cNdipo wazee wote wa mji ulio karibu zaidi na huyo maiti watanawa mikono yao juu ya huyo mtamba ambaye shingo yake imevunjwa huko kwenye bonde,
Copyright information for SwhKC